TUTAANZA VIZURI-Etienne

In Michezo

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa
Stars ,Etienne Ndayiragije amesema kuwa maandalizi ya
kikosi hicho nchini Cameroon yapo sawa na wana amini
wataanza vizuri leo.


Stars ikiwa imeweka kambi nchini Cameroon kwa ajili ya
mashindano ya Chan ambayo ni maalumu kwa ajili ya
wachezaji wa ndani leo kitaanza kazi yake dhidi ya
Zambia.


Kikosi cha Taifa Stars kipon Cmeroon kwa ajili ya
mashindano ya CHAN2021 Stars wanafanya mazoezi
katika Uwanja wa Centenary,Limbe nchini Cameroon
kujiandaa na mashindano ya CHAN na timu ya taifa
itaanza kampeni ya mashindano hayo hapo kesho katika
mchezo dhi ya ZambiaMwalimu Alex Kashasha ni mchambuzi wa masuala ya
soka hapa Tanzania na mzoefu wa mda mrefu yeye kwa
upande wake anazungumziaje vijana wengi kujumishwa
katika kikopsi hiki na vipii mashindano haya nafasi ipi
iko kwa Taifa Stars kufanya vizuri

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Wananchi Wa Siha Washukuru Serikali Kukabiliana na Nzige

Wananchi wa wilaya ya Siha mkoa wa Kilimanjaro wameipongeza serikali kwa hatua iliyochukua kudhibiti makundi ya nzige waliovamia maeneo

Read More...

Wizara Ya Afya Yawataka Wananchi Kuchukua Tahadhari Dhidi ya COVID – 19

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imewasihi na kuwasisitiza zaidi wananchi kuzingatia tahadhari zote ikiwemo

Read More...

Ndege mbili kupambana na nzige Longido

Serikali nchini imetangaza kuanza kutumia ndege kunyunyizia dawa makundi ya nzige yaliyovamia wilaya ya Longido na Simanjiro wakitokea

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu