Afungwa jela kwa kutuma mabomu kwa viongozi.

In Kimataifa

Mwanaume ambaye mwaka wa 2018 aliweka mabomu kwenye bahasha na kuvituma kwa viongozi mashuhuri wa kisiasa nchini Marekani, amehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani na mahakama mjini New York.
Sayok mwenye umri wa miaka 57 kutoka jimbo la Florida, alituma mabomu 16 kwa watu 13 mashuhuri mwaka jana na kusababisha hofu kote nchini Marekani.

Miongoni mwa aliyowalenga ni pamoja na rais mstaafu Barack Obama, aliyekuwa waziri wa mambo ya nje Hillary Clinton na miongoni mwa wanasiasa wengine wanaopinga sera za rais wa sasa Donald Trump.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

SOKA LA KIMATAIFA NA FUNUNU ZAKE

Real Madrid bado wanataka kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Brazili Neymar, lakini wanataka hakikisho kutoka Paris St-Germain kuhusu hali

Read More...

(TAMISEMI) KUTOA TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani S Jafo kesho tarehe 23 Mwezi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu