Akon atoa taarifa kuhusu mji wake

In Burudani

Akon ameendelea kutoa taarifa kuhusu ujenzi wa mji wake #AKONCITY nchini kwao Senegal, jana ameweka wazi kwamba amekamilisha makubaliano ya mwisho kwa ajili ya uwepo wa mji huo wa Kipekee barani Afrika.

AKON mwenye umri wa miaka 46 alikutana na mwenyekiti wa kampuni ya Utalii nchini humo SAPCO, kwa ajili ya mazungumzo na kusaini nyaraka za mwisho kukamilisha kihalali ujenzi wa Mji huo ambao aliutaja kuwa na mfano wa WAKANDA kwenye Black Panther.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu