ALAT Arusha yapata Mwenyekiti Mpya.

In Kitaifa

Jumuiya ya serikali za mitaa na tawala za Mikoa ALAT imemchagua Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Longido  Sabore ole Moloimet kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya hiyo kufuatia aliyekuwa Mwenyekiti wa ALAT Mkoa kukosa sifa baada ya kuvuliwa Uwenyekiti wa baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Karatu

Akizungumza wakati wa kikao cha majumuisho ikiwa ni baaada ya kutembelea miradi mbalimbali, Mwenyekiti huyo pamoja na kufanya uchaguzi amesema atafanya kazi kwa uwadilifu ikiwa ni pamoja na kuleta maendeleo kwenye chama hicho

Katika uchaguzi huo mbunge wa jimbo la Arumeru mashariki Johhn palanjo amechaguliwa kuwa mbunge mwakilishi wa Mkoa huku diwani kutoka halmashauri ya longido Nuru akichaguliwa kuwa Mbunge wa kamati tendaji kutoka Halmashauri ya Longido

Hata hivyo uchaguzi huo umefanyika leo ambapo wajumbe kutoka Halmashauri saba za Mkoa wa Arusha ikiwemo Karatu, Longido,  gorongoro, Arusha Dc, Arumeru, wakishiriki.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

TUME YA MADINI KWENYE MKUTANO WA KIMATAIFA WA MADINI

Kamishna wa Tume ya Madini, Profesa Abdulkarim Mruma akielezea fursa zilizopo kwenye Sekta ya Madini Tanzania katika

Read More...

Halmashauri ya Jiji la Arusha kutokomeza mimba za utotoni.

Halmashauri ya Jiji la Arusha ikishirikiana na wataalamu wa Afya kutoka mashirika mbalimbali, maafisa  elimu kata na sekondari,

Read More...

MNADA WA ALMASI WDL WAZIDI KUPAMBA MOTO.

Leo tarehe 20 Februari, 2020 mnada wa asilimia tano ya madini ya almasi kutoka katika Mgodi wa Williamson Diamond

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu