ALISEMA yasababisha Nay wa Mitego kupigiwa simu na Viogozi.

In Burudani
Staa wa muziki wa Bongofleva Nay wa Mitego leo amedai kuwa Viongozi wengi nchini wameonekana kumshangaza, baada ya kumpigia simu na kumpa pongezi nyingi kutokana na ngoma yake mpya ya“Alisema” aliyoiachia rasmi October 6,2018.

Nay Wa Mitego amesema amekuwa akipokea simu nyingi kutoka kwa viongozi tofauti tokea aachie ngoma hiyo, kitu ambacho kinamshangaza na kumpa maswali mengi, kuwa ni kitu gani wamekipenda kwenye ngoma yake ya ‘Alisema’ mpaka kumpa pongezi hizo.
“Napokea simu na msg nyingi za pongezi kutoka kwa viongozi tofauti tofauti wengine sijawai kuwaza hata kuzungumza nao au kuhisi kama wanasikilizaga hata nyimbo zangu. Watu wa kawaida pia kuhusu huu wimbo  ‘Alisema’ najiuliza nini kikubwa kipo kwenye hii ngoma?
“Maneno niliyoongea? Beat? Style niliyoimba? Chorus? kama ni verse ipi ya kwanza ya Pili? Au watu wamechoshwa na nyimbo za mapenzi kila siku.? Huu ni wimbo wa Taifa🇹🇿”Ameandika Nay wa Mitego

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu