Aliyedaiwa kutaka kuolewa na Kingkiba akanusha.

In Burudani, Kitaifa

Video vixen kutoka nchini Kenya aliyeng’ara katika ngoma ya Alikiba na Christian Bela ‘Nagharamia’ Tanasha Donna Barbieri Oketch a.k.a Zahara Zaire , amekana taarifa za kufunga ndoa na hit maker wa ‘ Seduce’ Alikiba.

Tanasha amekana taarifa hizo ikiwa ni wiki moja kupita tokea ripoti idai kuwa wawili hao wanamatarajio ya kufunga ndoa.
Mrembo huyo amekana taarifa hizo kupitia mtandao wa kijamii wa Snapchat kwa kuandika.

“I would like to clarify that the rumour that has been going round on numerous Tanzanian IG pages and blogs claiming that Ali Kiba and I are engaged are COMPLETELY FALSE. Kiba and I once worked together but have never been an item. #Falserum

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Jaji Mutungi avitahadharisha vyama vya siasa.

Vyama vya siasa nchini vimetakiwa kutekeleza majukumu yao ya kisiasa kwa kufuata na kuzingatia sheria na kanuni za vyama

Read More...

Bangi sasa ruksa Canada.

Canada imepitisha sheria rasmi kwa nchi nzima inayoruhusu matumizi ya bangi hadharani tofauti na hapo awali ambapo iliwabidi wananchi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu