ACP Jonathan Shana afariki dunia.

In Kitaifa


Aliyewahi kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha ACP
Jonathan Shana, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo
Septemba 16 2020, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili,
alikokuwa akipatiwa matibabu.


Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano hospitalini hapo Aminiel
Aligaesha amethibitisha hilo na kusema kuwa marehemu alikaa
hospitalini hapo kwa siku 21 na kati ya hizo alikaa katika
chumba cha uangalizi maalum (ICU) kwa siku tatu.
Kufuatia kifo hicho Mtaa wa mastory tumeinasa ya msemaji wa
Jeshi la polisi nchini SACP David Misime akithibitisha kutokea
kwa kifo hicho.

Ikumbukwe kuwa Juni 24 mwaka huu, Mkuu wa Jeshi la Polisi
nchini IGP Simon Sirro, alimhamisha ACP Shana kutoka kuwa
RPC na kwenda kuwa afisa mnadhimu shule ya Polisi Moshi.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Hospitali Ya Wilaya Karagwe Yakamilika Kwa 98%

SERIKALI ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imetumia sh. bilioni 1.8 kujenga majengo mbalimbali ya hospitali ya wilaya ya Karagwe

Read More...

Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine TAWIRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Eblate Ernest Mjingo kuwa Mkurugenzi Mkuu

Read More...

Tamisemi Yakanusha Taarifa Iliyotolewa Na Mgombea Urais Wa Chadema,tundu Lissu

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imekanusha madai yaliyotolewa na mgombea urais wa Tanzania

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu