Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt.Vincent Mashinji Ahamia CCM

In Siasa

Leo Jumanne Februari 18, 2020 Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt.Vincent Mashinji ametangaza rasmi kuondoka CHADEMA na kuhamia CCM.

Dkt Mashinji amepokelewa na Humphrey Polepole katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba DAR.

Mapema Mwaka Jana CHADEMA walifanya Uchaguzi Mkuu ambapo walipata viongozi wapya na nafasi aliyokuwa nayo Dkt. Mashinji ilichukuliwa na John John Mnyika ambaye ndiye Katibu Mkuu wa Sasa wa Chama hicho.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu