Aliyewahi kuwa Waziri wa Michezo Zanzibar afariki.

In Kitaifa

Aliyewahi kuwa Waziri wa Michezo Zanzibar ndugu Ali Juma Shamhuna, amefariki dunia visiwani humo.

Pia Shamhuna aliwahi kuwa Naibu Waziri Kiongozi katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, na pia mbunge wa bunge la katiba.

Kufutaia msiba huo spika wa Bunge Job Ndugai, leo ametoa taarifa hiyo kwa wabunge na kutoa salamu za pole kwa familia ya marehemu na wazanzibar wote.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MBUNGE JAGUAR WA KENYA ALIYETISHIA KUWAFURUSHA WATANZANIA AKAMATWA

Maafisa wa polisi nchini Kenya wamemkamata mbunge wa jimbo la Starehe anayedaiwa kutoa kauli za chuki dhidi ya wafanyabiashara

Read More...

MANCHESTER CITY, YAMTOA KAFARA DANILO

. . Klabu ya Manchester City, ipo tayari kutoa kiasi cha paundi milioni 44 na beki wao wa pembeni

Read More...

TOTTENHAM MBIONI KUMSAJILI KIUNGO KUTOKA LYON.

. . Klabu ya Tottenham, imekubali kutoa kitita cha kiasi cha paundi milioni 62 kumsajili kiungo wa kati wa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu