Ariana ajiondoa kwenye perfomance ya Grammy Awards.

In Burudani, Kimataifa

 

Mwimbaji Ariana Grande alipangwa kuperfom kwenye  tuzo za Grammy 2019. Lakini inaripotiwa kwamba Grande  amejitoa kuperfom siku hiyo kutokana na kutokuwa na maelewano na Watayarishaji wa show hiyo.

 

Fahamu kuwa sio tu kutoperfom bali pia kutokuwepo kabisa katika kwani Maproducer wa show hiyo hawakukubaliana na ombi lake la kuperfom single yake mpya ya ‘7 Rings’.

 

 

Wazalishaji walisema anaweza kufanya nyimbo mpya kutoka kwenye albamu yake mpya , lakini tu kama sehemu ya mchanganyiko wa nyimbo  (medley ). Kitu ambacho  Grande amekiona kama “kutusiwa” na kumfanya aache kufanya performance siku nne kabla ya shoe kufanyika .

 

Ariana amenominatiwa kwenye Awards mbili “Best Pop Vocal” pamoja na Best Pop Vocal Album”

Show imepangwa kufanyika 10 feb siku ya jumapili .

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu