Arsenal waicharaza fulham bao 5

In Michezo

Klabu ya Arsenal leo imeonesha matumaini kuwa ina uwezo wa kupigania taji la ligi nchini Uingereza baada ya kuwatandika Fulham goli 5-1 ugenini.

Kwa matokeo hayo, Klabu ya Arsenal imeshishika nafasi ya nne kunako msimamo wa ligi hiyo, yenye msisimko zaidi duniani, ambapo wanaingia top 4 kwa mara ya kwanza kwa msimu huu baada yankushinda mechi 6 na kufungwa mechi mbili.

Magoli ya Arsenal yamefungwa na Schurrle 44′,  Lacazette 929′,49′),  Ramsey 68′  na Aubameyang (79’90’) huku goli la Fulham likifungwa na Andre Schurrle.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Familia Ya Mo Dewji Yatangaza mkwanja wa Bilioni 1 (1,000,000,000) kumpata Mo.

Familia ya Mfanyabiashara wa Tanzania Mohammed Dewji imetangaza zawadi nono ya TSH. BILIONI MOJA (1,000,000,000)  kwa yeyote atakaetoa taarifa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu