Arsenal yakubali kipigo kutoka kwa Man city.

In Kimataifa, Michezo

Klabu ya Manchester City imefanikiwa kuchomoza na ushindi wa mabao 3 – 0 dhidi ya Arsenal mchezo wa ligi kuu  nchini Uingereza uliyopigwa katika dimba la Emirates.

City inafanikiwa kuchomoza na ushindi huo kwa mara ya pili mfululizo baada ya wiki iliyopita kushuhudiwa timu hiyo ikinyakuwa kombe la Karabao Cup kwa ushindi kama huo mbele ya the Gunners.

Baada ya matokeo  hayo meneja wa Arsenal, Arsene Wenger amesema kuwa wachezaji wake walikosa kujiamini na ndiypo sababu ya kupoteza mchezo huo na kuwataka kuwa na umoja na kufikiria mchezo ujao.

 

Wakati imani yako inapokuwa ndogo cha kwanza kinachotokea kukosa kujiamini na nguvu kupungua na hicho ndicho kilichotokea katika mchezo.

Nadhani umeweza kuona usiku wa leo, sidharau ubora waliyokuwa nao City lahasha lakini tunapitia katika kipindi kigumu ndani ya uwanja.

Hii ni sehemu ya mchezo nilazima tuunganishe nguvu zetu na tuwe kitu kimoja ndani ya timu na tufikirie mchezo ujao na tuweke juhudi zetu huko.

Picha zinazo onyesha matukio mbalimbali uwanjani

  

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu