Askari aliemuokoa mtoto kwenye shimo la choo asema mtoto alikuwa anamfuata mama yake uani….

In Kitaifa

Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Koplo Denis Minja
aliyemuokoa mtoto eneo la Murugwanza Wilayani Ngara
kwenye shimo la choo mwezi Mei mwaka huu,amemuokoa
mtoto mwingine jana Desemba 28-2020 huko Kata ya Kayanga
Tarafa ya Bugene Wilayani Karagwe.


Kwa mujibu wa Mkuu wa zimamoto na Uokoaji mkoa wa
Kagera, Inspekta Shaban Hamis Dawa amesema kuwa mtoto
huyo aitwaye Anekius Evarist miaka 2 alimfata mama yake
aliyeingia bafuni linalokaribiana na choo ila mtoto huyo aliingia
chooni akidhani mama yeke naye yupo chooni.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

RAIS MAGUFULI AZINDUA SHAMBA LA MITI SILAYO

Rais Dk John Magufuli leo amezindua na kubadilisha jina Shamba la Miti Chato na kuliita Shamba la Miti

Read More...

Kenya kutumia Teknolojia ya Roboti kudhibiti Corona.

Wizara ya Afya nchini Kenya imezindua Teknolojia ya kutumia Roboti ili kupambana na janga la virusi vya Corona na

Read More...

Rais wa Ethiopia atua Chato kwa ziara ya siku moja.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la watu wa Ethiopia Sahle Work Zewde,amewasili nchini Tanzania tayari kufanya ziara

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu