Askofu Gwajima aitolea ufafanuzi Video ya chafu Iliyosambazwa Mitandaoni.

In Kitaifa
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima leo Jumatano Mei 8, 2019 ameitolea ufafanuzi video ya ngono iliyosambaa mitandaoni kwa kusema kuwa video hiyo imetengezwa kwa kuchukua sehemu ya mwili wake na mwili wa mtu mwingine.

Gwajima amesema baadhi ya viungo vinavyooneka katika video ile sio vya kwake,bali ni vya Baunsa lakini akakiri kuwa kifua kilichotumiwa ni picha yake ambayo aliipiga miaka 10 iliyopita akiwa na familia yake.

“Mimi nasema siwezi kufa hata kutekwa kilichotokea juu yangu ni mpango wa kunichafua tu, tutavishinda hivi vita mapema na kwa ukubwa.

“Ukiangalia ule mkono ni wa baunsa, sio mkono wangu mimi, hata kwa kutumia akili tu, ni nani arekodi video akiwa anajamiana halafu aisambaze yeye? Alisema Gwajima.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Baraka da Prince sasa kufunga ndoa na Naj

Msanii wa Bongo fleva Baraka de Prince amebainsha wazi kufunga ndoa mwaka huu na mpenzi wake Naj. Minong’ono ilikua

Read More...

Ajibuawataka Simba watulize boli, msimu ni wao

Nyota wa Simba, Ibrahim Ajibu amesema kuwa mashabiki wa Simba watulie watakubali mziki wake kwani amejipanga kufanya maajabu. Ajibu

Read More...

Waziri Mkuu kuzindua Daftari la kudumu la kupiga kura.

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Dkt Athumani Kihamia, amesema zoezi la uandikishaji wa daftari la Kupiga

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu