AUAWA BAADA YA KUHISIWAKUWA NA VIRUSI VYA CORONA

In Kimataifa

Polisi huko Kwale wanakisaka kikundi cha watu ambacho kimemuua kijana Hezron
Kotin eneo la Kibundani nchini Kenya baada ya kumtuhumu kuwa na COVID 19.
Kamanda wa Polisi wa Kaunti ndogo ya Msambweni, Nehemia Bitok alisema kijana
huyo alikuwa akitembea kutoka kwa eneo la kunywa na aliingia kwenye kundi la
vijana ambao walianza kupiga kelele kuwa ana ugonjwa.
Vijana hao walishambulia mtu huyo wakiwa na silaha na kupelekea kifo chake.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WAGONJWA WA CORONA WAFIKIA 13 TANZANIA

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema idadi ya wagonjwa wa corona imefikia 13 ambapo kati yao 8 ni

Read More...

CORONA HAITAZUIA KUFANJIKA KWA UCHAGUZI – JPM

Rais Dkt. John Pombe Magufuli, amesema Ugonjwa wa Corona hautaizuia Tanzania kufanya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Rais

Read More...

Mshtakiwa wa mauaji ya mfanyakazi wake wa Ndani, apandishwa kizimbani

Mshtakiwa wa mauaji ya mfanyakazi wake wa Ndani Mkami Shirima(30)Mkazi wa Sakina Arusha amefikishwa tena katika mahakama ya hakimu

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu