Author: contributor contributor

Museveni akanusha kupigwa vibaya Bobi Wine.

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amekanusha kwamba mbunge wa upinzani Bobi Wine amejeruhiwa. Katika taarifa yake ya kwanza kuhusu

Read More...

Dada yake Rais Magufuli aaga dunia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefiwa na dada yake, Monica Joseph Magufuli aliyekuwa amelazwa katika

Read More...

Aliekuwa Katibu Mkuu UN Kofi Annan amefariki.

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annanamefariki leo Agosti 18 nchini Uswisi akiwa na umri wa mika 80

Read More...

Tanzania yateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa SADC.

Mkutano wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), unaofanyika mjini

Read More...

Viongozi wengine wawili CUF watimkia CCM.

Mwanasheria Mkuu wa chama cha wananchi CUF, Hashimu Mzirai na Naibu Meya wa jiji la Dar es Salaam, Musa Swedi

Read More...

Bobi wine hawezi kutembea wala kuzungumza.

Mwamauziki wa Uganda aliyegueka kuwa mwanasiasa Bobi Wine amepigwa na vikosi vya usalama na hawezi kuzungumza wala kutembea ,

Read More...

Mkuu wa Wilaya aagiza kukamatwa kwa Mkurugenzi na Mwanasheria wake.

Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ameamuru kukamatwa kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Tudeley Estates

Read More...

Mobile Sliding Menu