Author: contributor contributor

Abdul Nondo akamatwa tena na Polisi.

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo  inadaiwa amekamatwa tena na Polisi na kulala katika Kituo cha

Read More...

Museveni kuitawala Uganda Maisha yote.

Mahakama ya katiba nchini Uganda imeidhinisha mageuzi ya katiba yaliondoa kikomo kwa umri wa kugombea urais. Majaji wanne kati ya

Read More...

Mwanafunzi afariki Bweni likiteketea moto.

Mabweni ya shule ya msingi St. Joseph Rutabo iliyopo Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera yameungua moto usiku wa kuamkia

Read More...

Lugola aibuwa UFISADI.

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameipa wiki mbili Kampuni ya Kimataifa ya Iris Corporation Berhard

Read More...

Wakuu wa Magereza wapangwa upya na kamishna mpya.

Kamishna Jenerali mpya wa Jeshi la Magereza, Phaustine Martin Kasike amefanya mabadiliko kwa Wakuu wa Magereza wa Mikoa na Vituo vingine

Read More...

Haya hapa maamuzi ya Mahakama baada ya Mbowe na Mashinji kutokufika Mahakamani.

Viongozi 9 wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya kufanya maandamano isivyo halali akiwemo Freeman Mbowe wanatarajiwa kusomewa maelezo ya awali (Ph),

Read More...

Moto mkubwa waunguza msitu, watu 20 wafariki Ugiriki.

Moto mkubwa uliozuka na kuunguza msitu nchini Ugiriki umeua watu 20, huku mamlaka nchini humo zikisema kuwa zinahitaji msaada

Read More...

Mobile Sliding Menu