Author: contributor contributor

Mamilioni ya watu leo watapiga kura kwenye uchaguzi mkuu nchini Uingereza.

Mamilioni ya watu leo watapiga kura kwenye uchaguzi mkuu nchini Uingereza. Shughuli ya upiganji kura itaaza mwendo wa saa

Read More...

Mkutano wa viongozi wa nchi za Afrika Mashariki IGAD watakutana siku ya Jumatatu jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kujadili hali ya usalama nchini Sudan Kusini

Mkutano wa viongozi wa nchi za Afrika Mashariki IGAD watakutana siku ya Jumatatu jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kujadili

Read More...

Chama cha ACT-Wazalendo kimemvua uenyekiti wa chama hicho, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira kufuatia uteuzi wake.

Chama cha ACT-Wazalendo kimemvua uenyekiti wa chama hicho, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira kufuatia uteuzi wake. Uamuzi

Read More...

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema kamwe Serikali haitagawa chakula, kwa wananchi wavivu ambao hawataki kufanya kazi na kusubiri chakula kutoka serikalini.

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema kamwe Serikali haitagawa chakula, kwa wananchi wavivu ambao hawataki kufanya kazi na

Read More...

Polisi wa Ufaransa wamemfyatulia risasi na kumjeruhi mtu mmoja mjini Paris, ambaye alimshambulia afisa wa polisi kwa kutumia nyundo.

Polisi wa Ufaransa wamemfyatulia risasi na kumjeruhi mtu mmoja mjini Paris, ambaye alimshambulia afisa wa polisi kwa kutumia nyundo.

Read More...

Bunge la Nepal limemchagua mwanasiasa mkongwe Sher Bahadur Deuba, kama waziri mkuu mpya wa nchi hiyo.

Bunge la Nepal limemchagua mwanasiasa mkongwe Sher Bahadur Deuba, kama waziri mkuu mpya wa nchi hiyo. Hii ni kwa

Read More...

Mobile Sliding Menu