Author: contributor contributor

ACT Wazalendo, CHADEMA waungana.

Vyama vya upinzani ACT Wazalendo na CHADEMA vimeafikiana kuweka mgombea mmoja wa Ubunge anayekubalika katika jimbo la Buyungu ili

Read More...

Samatta na Omar Colley waenda Macca kuhiji.

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania anayecheza club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta wakati huu wa

Read More...

Rosa Ree apata mchongo mpya.

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Rosa Ree amepata menejimenti mpya kutoka nchini Afrika Kusini. Menejimenti hiyo inayofahamika kama

Read More...

Vijana 11 wa Tanzania walioshtakiwa ubakaji Afrika Kusini waachiwa huru.

Vijana 11 raia wa Tanzania waishio Johannesburg, Afrika Kusini walioshtakiwa kosa la ubakaji wameachiliwa huru na hakimu mkazi wa

Read More...

Mwanahabari wa Urusi aliyeikosoa serikali auawa mjini Kiev.

Mwandishi habari wa Urusi aliyekuwa mkosoaji mkubwa wa kile alichokiita kuwa ni vitendo vya uchokozi vinavyofanywa na Urusi nchini

Read More...

Mwanafunzi awaachia laana Wazazi kwa kumtelekeza.

Mwanafunzi wa kidato cha 6 katika Shule ya sekondari Kisomachi iliyopo Kata ya kiruwavunjo Mkoani Kilimanjaro amewalaani Wazazi wake

Read More...

LIVE: kuagwa kwa Mwili wa Mbunge Kasuku Bilago Bungeni Dodoma

LIVE kutoka Bungeni mjini Dodoma katika Viwanja vya Bunge Mwili wa Marehemu Kasuku Bilago aliyekuwa Mbunge wa Buyungu unaagwa na Wabunge wa

Read More...

Waganga wa tiba za asili walalamika kuitwa Wachawi.

Chama Cha Waganga na Wakunga wa Tiba za asili Mkoani Arusha (CHAWATIATA) kimeiomba Serikali kuwajali hasa katika kukamilisha usajili

Read More...

Mobile Sliding Menu