Author: contributor contributor

Volkano yarusha mawe angani Hawaii, Marekani.

Mlipuko mkubwa ulitokea katika volkano ya Kilauea katika jimbo la Hawaii nchini Marekani na kuzua wasiwasi zaidi eneo hilo. Mlipuko

Read More...

Furaha ya Torres yarejea baada ya Atletico Madrid kutwaa ubingwa wa Europa League.

Mshambuliaji wa klabu ya Atletico Madrid, Fernando Torres ameelezea furaha yake baada ya klabu yake kutwaa ubingwa wa Europa

Read More...

Kodi mafuta ghafi kuongezwa.

SERIKALI imelieleza Bunge kuwa itaongeza kodi kwenye mafuta ghafi yanayoingizwa nchini kutoka asilimia 10 hadi 25. Wizara ya Kilimo pia

Read More...

Kura ya kuongeza muda wa Urais yafanyika Burundi.

Burundi inafanya kura ya maamuzi hapo inayopania kuongeza muhula wa rais kutoka miaka tano hadi saba. Marekebisho hayo ya katiba

Read More...

Barcelona wawasili Afrika Kusini.

Klabu ya Barcelona imewasili nchini Afrika Kusini ambapo inatarajia kushuka dimbani kuchuana na klabu ya Mamelodi Sundowns katika mchezo

Read More...

BOT yaziunganisha Benki za Twiga na TPB.

Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imeziunganisha Benki za Twiga na TPB na kuwa benki moja kwa malengo ya kuongeza

Read More...

Mtoto wa Marcelo awashangaza wachezaji wa Real Madrid.

Mtoto wa mchezaji Marcelo wa Real Madrid, Enzo Alves ameonyesha kufuata nyayo za baba yake tena kwa kiwango kikubwa

Read More...

Kesi za voiongozi wa CHADEMA yakwama.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jana ilitupilia mbali ombi la kuhamishia kesi yao Mahakama Kuu lililowasilishwa na mawakili wanaowatetea

Read More...

Mobile Sliding Menu