Author: contributor contributor

Watu zaidi ya wawili wamefariki kutokana na ugonjwa usiojulikana nchini Liberia.

Watu wawili zaidi wamefariki kutokana na ugonjwa usiojulikana ambao uliwaambukiza watu waliohudhuria mazishi mapema wiki hii katika kaunti ya

Read More...

Watu Takribani 29 wauawa Mashariki mwa DRC.

Takribani watu 29 wameuawa katika siku tatu za ghasia kati ya makundi yanayomiliki silaha katika eneo lenye utovu wa

Read More...

Uongozi wa shule za msingi ukombozi na Engosengiu waishukuru halimashauri ya Jiji la Arusha kwa kuweza kutatua changamoto zilizokua zikiwakabili.

Uongozi na wanafunzi wa shule za msingi ukombozi na Ongosengiu zilizopo kata ya sinoni mkoani Arusha, zimeishukuru halmashauri  ya

Read More...

Bunge latangaza nafasi za ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kutoka CHADEMA.

BUNGE limetangaza kuwa, uchaguzi mdogo wa kupata wawakilishi wawili wa nafasi ya ubunge kwa Bunge la Afrika Mashariki (EALA)

Read More...

Rais Mgufuli aagiza Watumishi 9,932 waliogushi vyeti waondolewe mara moja sambamba na kukatwa mishahara yao.

RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.JOHN MAGUFULI, amepokea taarifa ya zoezi la uhakiki wa vyeti kwa watumishi

Read More...

Waandamanaji wavamia Bunge la Macedonia na kushambulia wabunge pamoja na kiongozi wa upinzani.

Waandamanaji wamevamia bunge la Macedonia jana, na kuwashambulia wabunge, akiwemo kiongozi wa upinzani, wakipinga kura ya kumchagua spika mpya.

Read More...

Rais wa Sudan kusini asitisha mpango wa kutembelea Makao Makuu ya jeshi jijini Juba.

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir, amesitisha mpango wa kutembelea Makao Makuu ya jeshi jijini Juba. Mapigano yanaendelea kushuhudiwa

Read More...

Muungano wa Vyama vikuu vya upinzani nchini Kenya (NASA) vyamtangaza Raila Odinga kuwania nafasi ya Urais.

Muungano wa vyama vikuu vya upinzani nchini Kenya umetaja mgombea wake wa urais atakaepambana na Rais Uhuru Kenyatta katika

Read More...

Lowassa afuraishwa na ziara ya wanawake wajasiriamali kutoka Kenya.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli Isaac Joseph amewataka wanawake wajasiria mali jamii ya wafugaji kutoka nchini Kenya

Read More...

Neema kuwashukia Watanzania katika mwaka huu wa Fedha.

WATANZANIA wameshukiwa na neema katika mwaka huu wa fedha kutokana na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kupanga kuunganisha

Read More...

Mobile Sliding Menu