Author: contributor contributor

Marekani kuondoa wasiwasi kwa Uturuki kuwapatia silaha wapiganaji wa kikundi nchini Syria.

Waziri wa ulinzi wa Marekani Jim Mattis amesema leo kwamba anaimani Marekani inaweza kuondoa wasi wasi wowote wa Uturuki

Read More...

Dawa za kupunguza makali ya virusi vya UKIMWI ulaya na Amerika ya Kaskazini zaboreshwa.

Watafiti nchini Uingereza wanasema dawa za kupunguza makali ya virusi katika Ulaya na Amerika ya Kaskazini, zimeboreshwa kiasi kwamba

Read More...

Mwanaharakati aliyekamatwa kwa kumuita Rais Museveni “JOZI YA MAKALIO”hatimae apewa dhamana.

Mwanaharakati msomi nchini Uganda ambaye alikamatwa baada ya kumuita Rais Yoweri Museveni “jozi ya makalio”, hatimaye amepewa dhamana. Dkt

Read More...

watumishi 134 wa Hospitali ya Muhimbili wabainika kuwa na vyeti vya kugushi.

Watumishi 134 wa hospitali ya taifa Muhimbili wamebainika kuwa na vyeti vya kughushi ,vya ngazi ya elimu ya sekondari

Read More...

Waziri Mkuu awataka wakuu wa Wilaya kuwachukulia hatua za kisheria watendaji wanaoshindwa kuzingatia sheria za utumishi.

     WAZIRI Mkuu wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania KASSIMU MAJALIWA amewataka wakuu wa Wilaya Nchini ,kuwachukulia hatua za

Read More...

Mshauri wa maswala ya usalama Michael Flynn Kuhojiwa na aliyekua mkuu wa upelelezi kawaandikia barua maafisa na rafiki zake.

     Maseneta wanaochunguza uhusiano uliopo kati ya Rais Donald Trump na Urusi wamemwagiza aliyekuwa mshauri wa maswala ya

Read More...

Waandamanaji wawili wauawa katika maandamano ya kupinga Serikali nchini Venezuela.

   Watu wengine wawili wameuawa katika siku nyingine ya maandamano ya kupinga Serikali nchini Venezuela, ambapo watu waliofariki kwa

Read More...

Mkuu wa Benki ya Gambia afutwa kazi.

  Mkuu wa Benki Kuu ya Gambia aliyekuwa akihudumu wakati wa utawala wa Yahya Jammeh, Amadou Colley, amefutwa kazi.

Read More...

Wananchi Mkoani Pwani wahimizwa kushirikiana katika masuala ya kijamii.

   Wananchi mkoa wa Pwani wamehimizwa kushirikiana katika masuala ya kijamii, ikiwemo suala la usalama na kilimo cha matunda

Read More...

Serikali kuajiri watumishi Elfu 4,339 katika wizara ya mambo ya ndani ya Nchi.

   Serikali inatarajia kuajiri watumishi ELFU NNE 4,339 katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa

Read More...

Mobile Sliding Menu