Author: contributor contributor

Vidonge vya uzazi wa mpango sasa ni zamu ya Wanaume.

Kenya imechaguliwa kuwa sehemu ya utafiti wa vidonge vya uzazi wa mpango kwa wanaume. Nchi nyingine zinazoungana na Kenya ni

Read More...

Bajeti ya Afya yapitishwa.

Bunge limeridhia na kupitisha jumla ya Shillingi Billioni 898 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Afya,

Read More...

Breaking News:Kim Jong-un asitisha majaribio ya makombora.

  Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un ameamua kusitisha majaribio yote ya makombora na kuyafunga maeneo yote yaliyokuwa yakizalisha na

Read More...

Magufuli kuzindua tawi la NMB, jengo la PSPF.

Rais John Magufuli kesho kutwa (Jumatatu) atazindua jengo la Mfuko wa Pensheni wa PSPF na tawi jipya la Benki

Read More...

TANZIA:Video Vixen “Masogange” afariki dunia.

Video Queen maarufu nchini Tanzania, Agness Gerald maarufu kama Masogange amefariki dunia jioni ya leo Aprili 20, 2018 katika

Read More...

DPP alifunga jalada la kesi ya mauaji ya Akwilina

Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Biswalo Mganga amesema, jalada la kesi ya aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji

Read More...

Ghasia zamrejesha nyumbani Rais wa Afrika ya kusini.

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amekatisha safari yake ya kushiriki kwenye Mkutano wa Jumuiya ya Madola nchini Uingereza

Read More...

Mafuriko Jangwani kupatiwa ufumbuzi.

Benki ya Dunia (WB) imekubali kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kukabiliana na athari za mafuriko zinazosababishwa na mvua

Read More...

Yanga yapiga hatua kombe la Shirikisho Afrika,

Yanga SC imefanikiwa kutinga hatua ya kombe la Shirikisho Barani Afrika kwa mara ya pili ndani ya miaka mitatu

Read More...

Mobile Sliding Menu