Author: contributor contributor

Paul Bukaba mchezaji bora dhidi ya Mtibwa Sugar.

Klabu ya Simba yamtangaza, Paul Bukaba kuwa mchezaji bora wa mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar uliyopigwa hapo jana

Read More...

Hatua zitakazochukuliwa na serikali kwa vyombo vya habari vitakavyorusha matangazo ya kukera.

Serikali imesema kuwa zipo hatua mbalimbali zinazochukuliwa na serikali inapobainika kuwa kampuni au Taasisi imechapisha au kutoa tangazo lenye

Read More...

Tazama picha za matukio mbalimbali yaliyojiri bungeni leo April 10, 2018.

Leo April,10 mwaka huu katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaloendelea mjini Dodoma; Hizi ni baadhi ya

Read More...

Mkuu wa Majeshi Mstaafu aanzisha kundi la Waasi Sudan Kusini.

Aliyekuwa Mkuu wa Majeshi Paul Malong ameanzisha vugu vugu jipya la kundi la waasi. Hatua hii imekuja kipindi ambacho nchi hiyo imeanza

Read More...

Ndugai atinga bungeni leo.

Spika wa bunge Job Ndugai leo ameingia bungeni kuongoza kikao cha tano katika mkutano wa 11. Ndugai hakuwepo bungeni

Read More...

Padri auawa kwa risasi akikomunisha waumini DRC

kasisi wa kanisa katoliki wa Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo amepigwa risasi na kufariki Mashariki mwa nchi hiyo. Taarifa kutoka kwenye vyombo

Read More...

Messi aifikisha Barcelona kwenye rekodi iliyodumu miaka 38 La Liga

Mshambuliaji wa klabu ya Barcelona, Lionel Messi jana usiku amefanikiwa kuifikisha klabu yake kwenye rekodi iliyokuwa inashikiliwa na klabu

Read More...

Mhariri wa The Guardian ameokotwa akiwa hajitambui.

Mmoja wa wahariri waandamizi wa gazeti la The Guardian, Finnigan Simbeye ameokotwa eneo la Bunju wilayani Kinondoni akiwa hajitambui. Taarifa zilizosambaa leo kwenye

Read More...

PICHA:Magufuli katika Ibada ya kumsimika Askofu Jijini Arusha.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameshiriki katika Ibada ya kumsimika Mhashamu Isaack Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo

Read More...

Mobile Sliding Menu