Author: contributor contributor

Serikali inakusudia kutangaza haraka nafasi za ajira katika sekta ya afya baada ya baadhi ya wafanyakazi wake kuacha kazi

Serikali inakusudia kutangaza haraka nafasi za ajira katika sekta ya afya baada ya  baadhi ya wafanyakazi wake kuacha kazi

Read More...

Serikali Mkoani Kilimanjaro imeliagiza Jeshi la Polisi Mkoani hapo, kufanya ukaguzi maalumu wa magari yanayobeba wanafunzi hususani shule binafsi

Serikali Mkoani Kilimanjaro imeliagiza    Jeshi la Polisi Mkoani hapo, kufanya ukaguzi maalumu wa magari yanayobeba wanafunzi hususani shule

Read More...

Mdahalo wa mwisho wa wagombea sita wa kiti cha Urais iran kufanyika leo.

Mdahalo wa tatu na wa mwisho wa wagombea sita wa kiti cha urais wa awamu ya 12 ,katika Jamhuri

Read More...

Somalia yasaini mkataba wa utulivu wenye lengo la kuimarisha Jeshi lake.

Somalia imesaini mkataba wa utulivu wenye lengo la kuimarisha jeshi lake na kufufua uchumi wake uliodorora. Baada ya kusainiwa mkataba

Read More...

Rais wa Zanzibar asema Serikali inampango wa kuanzisha kiwanda cha kusindika samali visiwani Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, amesema serikali ina mpango wa kuanzisha kiwanda cha kusindika samaki visiwani Zanzibar. Aidha

Read More...

Tanzania yatajwa kuwa nchi kinara wa uzalishaji na uuzaji wa maharage barani Afrika.

Tanzania inatajwa kuwa nchi kinara wa uzalishaji na uuzaji wa maharage barani Afrika. Ikiwa na eneo la ukubwa wa hekta

Read More...

Ahadi zote alizoziahidi Rais Magufuli wakati wa Kampeni zitatekelezwa.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tamisemi George Simbachawene, amewahakikishia wabunge ahadi

Read More...

Rais wa Marekani Donald Trump amesisitiza kwamba hafanyiwi uchunguzi wowote baada ya kumfuta kazi mkurugenzi wa shirika la ujasusi la FBI.

Rais wa Marekani Donald Trump amesisitiza kwamba hafanyiwi uchunguzi wowote baada ya kumfuta kazi mkurugenzi wa shirika la ujasusi

Read More...

Mobile Sliding Menu