Author: contributor contributor

Zambia: Jeshi la polisi limemtia mbaroni kiongozi wa chama kidogo cha upinzani.

Jeshi la polisi nchini Zambia hapo jana limemtia mbaroni kiongozi wa chama kidogo cha upinzani nchini humo cha United

Read More...

Wananchi wa Rwanda wanapiga kura hii leo kumchagua Rais na wabunge

Wananchi wa Rwanda wanapiga kura hii leo kumchagua Rais na wabunge ambapo wachambuzi wanasema Rais wa sasa Paul Kagame

Read More...

Bodi ya korosho Tanzania yaongeza vituo vya ugawaji pembejeo.

Bodi ya korosho Tanzania imeongeza vituo vya ugawaji pembejeo ili kuharakisha usambazaji na kuhakikisha kila mkulima anapata pembejeo kwa

Read More...

SACP Fortunatus Musilimu amefanya ziara ya kushtukiza Kituo Kikuu cha Mabasi.

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, SACP Fortunatus Musilimu amefanya ziara ya kushtukiza Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo Mikoani na Nchi

Read More...

Mkoa wa Tanga kuinuka kiuchumi.

Rais John Magufuli amesema amedhamiria kwa dhati kuleta maendeleo nchini, kupitia uwekezaji na uzalishaji mali katika uchumi wa viwanda,na

Read More...

Rais Mgufuli kuzindua bomba la Mfuta Agosti 5, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anawasili Mkoani Tanga leo Agosti 3, 2017 kwa

Read More...

Wizara ya ulinzi nchini Kenya imeshutumu taarifa zilizokuwa zimeenezwa kwamba msemaji wa jeshi la Kenya Kanali Joseph Owuoth alikuwa ametoweka.

Wizara ya ulinzi nchini Kenya imeshutumu taarifa zilizokuwa zimeenezwa kwamba msemaji wa jeshi la Kenya Kanali Joseph Owuoth alikuwa

Read More...

Luhaga Mpina ameviagiza vyombo vya dola kuwakamata mawakala wa pamba.

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Luhaga Mpina ameviagiza vyombo vya dola

Read More...

Mauritius kuwekeza Tanzania.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi

Read More...

(IEBC) imepiga marufuku wapigapicha ndani ya vituo vya kupigia kura.

Tume Huru ya Uchaguzi nchini Kenya (IEBC) imepiga marufuku wapigapicha ndani ya vituo vya kupigia kura, pia haitaruhusiwa kujipiga

Read More...

Mobile Sliding Menu