Author: contributor contributor

Watu 1,000 waandamana mjini Moscow

Kiasi ya watu 1,000 wameandamana hapo jana mjini Moscow kupinga hatua ya serikali kudhibiti matumizi ya mtandao wa Intaneti. Urusi

Read More...

Rais Uhuru Kenyatta kuongeza nafasi milioni 6.5 za ajira.

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya anayegombea kuchaguliwa kuwa rais wa Kenya kwa muhula mwingine, ameahidi kuwa serikali yake itaongeza

Read More...

TASSO kutoshugulika na maandalizi na Usimamizi wa Nane Nane.

Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya kuanza  sherehe za wakulima Nane Nane  Kanda ya Kaskazini, Mkuu wa Mkoa wa

Read More...

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mbozi pamoja na maofisa watatu wasimamishwa kazi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe, Eliseyi Mgoyi pamoja

Read More...

Rais Magufuli aweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Nguruka.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  jana  ameweka jiwe la msingi la mradi

Read More...

Taasisi za Serikali zatakiwa kuratibu suala la uhamisho wa watumishi wa umma kwa makini

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki,

Read More...

Riek Machar atoa wito wa kuanza upya mazungumzo ya amani nje ya taifa linalokumbwa na vita la Sudan Kusini.

Kiongozi wa upinzani aliyeko uhamishoni Riek Machar ametoa wito wa kuanza upya mazungumzo ya amani nje ya taifa linalokumbwa

Read More...

Vijana sita wa timu ya Burundi ya ubunifu wa Maroboti watoweka.

Vijana sita wa timu ya Burundi ya ubunifu wa Maroboti wameripotiwa kutoweka baada ya kushiriki katika mashindano ya kimataifa

Read More...

Polisi nchini Uganda imewakamata karibu watu 56 hapo jana kwa kuandaa mikutano ya hadhara kinyume cha sheria.

Polisi nchini Uganda imewakamata karibu watu 56 hapo jana kwa kuandaa mikutano ya hadhara kinyume cha sheria. Wanaharakati waliingia mitaani

Read More...

Majambazi waliomaliza vifungo na kuachiwa wapewa siku 7 kujisalimisha kwa mkuu wa upelelezi kanda Maalum.

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limetoa siku saba kwa majambazi wote waliowahi kutumikia vifungo na

Read More...

Mobile Sliding Menu