Author: contributor contributor

Serikali za Uingereza na Marekani, zatoa msaada wa Euro milioni 40.4 sawa na (Sh bilioni 101) kwa Serikali ya awamu ya tano.

Jumuiya ya kimataifa imeendelea kuiunga mkono Serikali ya Awamu ya Tano katika hatua zake za kuwaletea wananchi maendeleo, ambapo

Read More...

MAJALIWA:Tanzania siyo lango la kupitishia dawa za kulevya

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Tanzania siyo lango la kupitishia dawa za kulevya kwenda nchi za nje, hivyo ameagiza

Read More...

Baraza la Seneti lapitisha Mswada wa kuwawekea vikwazo Urusi, iran na korea Kaskazini

Baraza la Seneti la Marekani kwa sauti moja hapo jana limepitisha mswada wa kuziwekea vikwazo vipya Urusi, Iran na

Read More...

Ufaransa yazindua mipango ya kuanzisha vituo vya kusajili wahamiaji.

Ufaransa imezindua mipango ya kuanzisha vituo vya kusajili wahamiaji wanaotafuta hifadhi huko nchini Libya, huku bara la Ulaya likiwa

Read More...

Watu zaidi 50 wauawa kwa shambulio la Boko Haram.

Idadi ya vifo inayotokana na shambulio la kundi la Boko Haram dhidi ya timu ya utafutaji wa mafuta kaskazini

Read More...

Mawaziri watano watembelea mpaka wa Tanzania na Uganda.

Mawaziri watano wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wametembelea mpaka wa Tanzania na Uganda ili kutatua changamoto

Read More...

Serikali yateua Kamati Maalumu kukagua utendaji wa viwanda.

Serikali imeteua kamati maalumu yenye kushirikisha wataalamu pamoja na wakuu wa mikoa wa kila mkoa, itakayozunguka kukagua utendaji wa

Read More...

Maspika wamchagua Ndugai kuwa Mwenyekiti barani Afrika.

Spika wa Bunge Mhe. Job Yustino Ndugai (Mb), amechaguliwa kuwa Mwenyekiti  wa Maspika na Viongozi wa Bunge katika Umoja wa

Read More...

Marekani kuiadhibu Urusi.

Urusi inaadhibiwa kutokana na kudaiwa kuingilia uchaguzi mkuu wa mwaka jana wa Marekani huku Korea Kaskazini na Iran wao

Read More...

Mtandao usiodukuliwa kuzinduliwa China.

Wakati udukuzi wa mitandao wanapoendesha udukuzi zaidi, China inatarajiwa kuzindua mtandao usiodukuliwa ikimaanisha kuwa itakuwa rahis kugundua kabla ya

Read More...

Mobile Sliding Menu