Author: contributor contributor

NEMC yapewa siku 7 kukifunga kiwanda cha ANBANGS kwa kukaidi maagizo ya serikali ya awamu ya tano.

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC limepewa siku saba kukagua na kujiridhisha na uzalishaji na

Read More...

Waziri wa Maliasili atoa tahadhari kwa wanaojihusisha na ujangili.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe ametoa tahadhari kubwa kwa watu ambao bado ,wanaendelea kujihusisha na vitendo

Read More...

Siku ya mwisho ya maandamano mjini Istanbul kiongozi wa upinzani kuhutubia mkutano wa hadhara

Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Uturuki Kemal Kilicdaroglu anatarajiwa kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Istanbul ikiwa ni siku

Read More...

Waziri Mkuu wa Iraq atembelea mji wa Mosul kuwapongeza wanajeshi.

Waziri Mkuu wa Iraq, Haider al-Abadi, ametembelea mji wa Mosul kuwapongeza wanajeshi katika kile alichokiita ukombozi wa mji huo

Read More...

Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amesema raia wake hawajutii uamuzi wao wa kupiga kura ya kutaka uhuru wao

Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amesema raia wake hawajutii uamuzi wao wa kupiga kura ya kutaka uhuru wao,

Read More...

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameonya mahakama nchini humo akiitaka kutousaidia upinzani na kuhujumu uchaguzi unaokuja.

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameonya mahakama nchini humo akiitaka kutousaidia upinzani na kuhujumu uchaguzi unaokuja. Uchaguzi wa urais utafanyika

Read More...

Umoja wa makanisa nchini kufanya maombi ya shukrani kitaifa.

Umoja wa makanisa mbalimbali nchini, unatarajia kufanya maombi ya shukrani kitaifa ya saa tano Jumamosi ijayo. Mwenyekiti wa kamati ya

Read More...

Serikali yatoa siku 7 kawa Halmashauri ambazo hazijakamilisha manunuzi ya dawa na vifaa tiba.

Serikali imetoa siku saba kwa halmashauri ambazo hazijamaliza matumizi ya fedha hasa kwa upande wa ununuzi wa dawa na

Read More...

Waziri Mkuu awahakikishia wawekezaji,Tanzania ni nchi yenye amani, utulivu wa kisiasa na uchumi

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewahakikishia uwekezaji wenye tija wawekezaji watakaokuja nchini kwa kuwa Tanzania ni nchi yenye amani, utulivu

Read More...

Donald Trump na Vladimir Putin wakutana ana kwa ana.

Donald Trump na Vladimir Putin wamekutana ana kwa ana kwa mara ya kwanza kabisa, na wakasalimiana kwa mikono huku

Read More...

Mobile Sliding Menu