Author: contributor contributor

Jeshi la Polisi lakanusha kupatikana kwa Masheikh watatu waliotoweka Zanzibar.

Jeshi la Polisi Zanzibar limesema kuwa halina taarifa za kuonekana kwa mashekhe watatu wa Jumuiya ya Maimamu Zanzibar, ambao

Read More...

Usher Raymond na mkewe Grace Miguel waachana.

Mwaka 2018 umeonekana kuwa ni mbaya kwa wapendanao. Usher Raymond na mkewe Grace Miguel wametangaza kuachana baada ya kupita

Read More...

PSG yapigwa na Madrid mbele ya mashabiki wao

Klabu ya PSG Jana usiku imekubali kipigo cha goli 2-1 dhidi ya Real Madrid. Magoli ya Madrid yamefungwa na Cristiano

Read More...

Lukuvi aomba Radhi kwa wamiliki wa Ardhi.

Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maendeleo na Makazi Mh William Lukuvi, amewaomba radhi watanzania kwa kusema yeye hawezi kutafsiri wala

Read More...

Moto wateketeza soko la Mbagala.

Moto mkubwa umelipuka na kuunguza soko la wafanyabiashara wadogo wadogo katika eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es

Read More...

Wafugaji Geita wavunja ukimya.

Wafugaji katika Kijiji cha Shibingo Wilaya ya Bukombe mkoani Geita wamewalalamikia baadhi ya askari wa Hifadhi kwa kitendo cha

Read More...

Ripoti ya UNICEF yaonesha ndoa za utotoni zimepungua duniani.

Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa leo Machi 06, 2018 Shirika la Umoja wa mataifa linaloshughulikia masuala ya watoto ulimwenguni

Read More...

Hali ya Lissu yazidi kuimarika, aanza kufanya mazoezi mitaani Ubelgiji.

Hali ya afya ya Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Mhe.

Read More...

Mnyeti atoa maagizo kwa (TARURA).

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti ameagiza wakala wa barabara za mijini na vijijini (Tarura), kuwashirikisha viongozi wa

Read More...

Mobile Sliding Menu