Author: contributor contributor

Father Raymond: Aliyetekeleza Mauaji ya Mwanafunzi Akwilina Awekwe Hadharani na Aombe Msamaha,Vinginevyo Hatutafika Mbali

Padri Raymond Mayanga wa Parokia ya Yohane Mbatizaji Luhanga amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kumsaka mtu aliyempiga risasi

Read More...

Wafuasi 28 wa CHADEMA Waliokamatwa Wakiandamana Kinondoni Wafikishwa Mahakamani.

Watu 28 wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chadema wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakituhumiwa kufanya mkusanyiko usio halali na

Read More...

Picha: Man United walivyorudi kinyonge baada ya kutoka sare na Sevilla kwenye Uefa.

Klabu ya soka ya Manchester United wamerudi nchini Uingereza wakionekana hawana furaha sana baada ya kutoka sare na Sevilla

Read More...

Sina tatizo na Alikiba-Nay wa Mitego.

Msanii wa muziki Bongo, Nay wa Mitego amesema hana beef na Alikiba na wala hana timu yoyote katika muziki. Nay

Read More...

Rwanda,Tanzania yaibuka vinara nchi zenye viwango vidogo vya rushwa Afrika Mashariki.

Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka 2017 iliyotolewa jana Februari 21, 2018 na Shirika la Transparency International imeonesha kuwa

Read More...

Mtangazaji ajifungua ‘live’ akitangaza redioni.

Duniani kuna mengi yanatokea na kushangaza, huku mengine yakikuacha mdoma wazi. Mtangazaji wa kipindi cha Alfajiri katika kituo cha

Read More...

TAKUKURU watimiza maagizo waliyopewa na DPP kesi ya Aveva na Kaburu.

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)imeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa imemaliza maelekezo waliyopewa na Mkurugenzi wa

Read More...

Trump ataka walimu wapewe bunduki.

Rais wa Marekani, Donald Trump ameshauri walimu kupatiwa silaha ili kuwalinda wanafunzi na mashambulizi ya kutumia silaha za moto. Rais

Read More...

Lupita Nyong’o awapa shavu wanafunzi Kenya.

Muigizaji wa Filamu mwenye asili ya nchini Kenya na Mexico, Lupita Nyong’o awapa shavu wanafunzi 1,200 nchini Kenya. Muigizaji huyo

Read More...

Makamu wa Rais azungumzia sekta ya afya nchini.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan Serikali imedhamiria kuboresha huduma za afya

Read More...

Mobile Sliding Menu