Author: contributor contributor

Shamba la Ccm laporwa,Mkuu wa wilaya aagiza waporaji kuliachia.

Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Chelestino Mofuga, amewaagiza viongozi wa Kijiji cha Maretadu chini, waliopora shamba la

Read More...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akutana na mabalozi wanaokwenda kuwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na mabalozi wa Tanzania wanaokwenda kuiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali na kuwataka kuhakikisha wanaimarisha

Read More...

Heshima za mwisho zatolewa katika mazishi ya Dr.Macha.

viongozi mbalimbali wametoa heshima za mwisho katika mazishi ya Marehemu Dr.Elly Marko Macha ambaye amezikwa kirua vunjo kijiji cha

Read More...

Mapokezi ya Mwili wa Marehemu Dkt.Elly Marko Macha.

Haya ndiyo yalikua mapokezi ya aliyekuwa Mbunge wa viti maalumu kupitia tiketi ya Chadema Marehemu Dkt.Elly Marko Macha,mwili huo

Read More...

Picha tatu za Ndege iliyobeba mwili wa aliyekuwa Mbunge wa vitimaalum CHADEMA.

Picha tatu za ndege iliyobeba mwili wa Mbunge wa vitimaalumu kwa tiketi ya Chadema kuwakilisha kundi la walemavu Mhe.Dr.Elly

Read More...

Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Vitimaalumu (CHADEMA) utawasili Arusha kesho.

Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA) Dkt.Elly Marko Macha umewasili Nchini,na utawasili Arusha kesho Aprili 21 saa

Read More...

Mamia ya raia waandamana mitaani,ghasia na kufyatua risasi vyajitokeza nchini Venezuela.

Ghasia na kufyatua risasi ilijitokeza nchini Venezuela, baada ya mamia ya raia walipoandamana mitaani wengine wakimuunga mkono rais Nicolas

Read More...

Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) yaanzisha huduma mpya ya uchunguzi wa wajawazito ya wagonjwa wa Moyo kwa watoto.

Tasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imeanzisha huduma mpya ya uchunguzi kwa wajawazito ya magonjwa ya moyo kwa

Read More...

Dk Hamisi Kigwangala aagiza wakuu wa mikoa kukaa pamoja na viongozi wa sekta ya Afya katika wilaya zao.

Naibu Waziri wa Afya, Jinsia, Wazee na Maendeleo ya Jamii Dk Hamis Kigwangala, amewaagiza wakuu wa mikoa kukaa pamoja

Read More...

Waziri wa mambo ya Nje wa Marekani ameituhumu Iran kufanya uchokozi wa hali ya juu.

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Rex Tillerson, ameituhumu Iran kwa kufanya uchokozi wa hali ya juu, ambao

Read More...

Mobile Sliding Menu