Author: contributor contributor

Mahakama yabariki ushindi wa Uhuru Kenya.

Mahakama ya Juu Kenya imeamua uchaguzi wa marudio wa urais uliofanyika tarehe 26 Oktoba, 2017 ulikuwa halali. Rais Uhuru Kenyatta

Read More...

Wauzaji wa vifaa vya ujenzi Mirereni waombwa kupunguza bei.

Naibu Waziri wa Madini Ladslaus Nyongo amewataka wauzaji wa vifaa vya ujenzi wa ukuta unaozunguka migodi ya madini ya

Read More...

ZANU – PF kumshtaki Mugabe.

Mtandao wa Twitter unaofuatilia taarifa za vyombo vya habari nchini Zimbabwe unaripoti kuwa Kiongozi wa chama tawala Cha ZANU

Read More...

Maamuzi kuhusu kesi ya Urais Kenya kutolewa leo.

Mahakama ya juu zaidi nchini Kenya Jumatatu inatarajiwa kutoa uamuzi katika kesi zilizowasilishwa kwenye mahakama hiyo kupinga uchaguzi wa

Read More...

Mugabe ahutubia Taifa bila kujiuzulu.

Wengi walitarajia kwamba Rais Robert Mugabe angetumia hotuba yake ya moja kwa moja kwenye runinga kujiuzulu, hasa baada ya

Read More...

Rais Mugabe apewa masaa kujiuzulu urais Zimbabwe.

Baada ya kuvuliwa nafasi ya kiongozi wa juu wa Chama cha Zanu- PF Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amepewa

Read More...

Watu wanne wauawa kwenye ghasia mjini Nairobi, Kenya.

Takriban watu wanne wamethibitishwa kuuawa wakati wa mashambulizi kwenye mtaa wa Mathare mjini Nairobi nchini Kenya. Wakaazi wa mtaa huo

Read More...

Chama cha Zanu-PF kimemfuta Mugabe kama kiongozi wake.

Chama tawala nchini Zimbabwe Zanu-PF kimefuta Robert Mugabe kama kiongozi wake. Kimemtua aliyekuwa makamu wa rais Emmerson Mnangagwa ambaye alifutwa

Read More...

Waziri Nchemba atunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD) UDSM.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba jana Novemba 18, 2017 ameweka historia nyingine katika maisha

Read More...

Polisi Watumia Mabomu ya Machozi Kuwatawanya Wafuasi wa Lowassa.

Polisi Mkoa wa Kilimanjaro wamelazimika kutumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya wananchi kumwezesha mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema

Read More...

Mobile Sliding Menu