Author: contributor contributor

Arsenal kumenyana na Tottenham, debi ya London.

The Gunners pia itamkagua beki Shkrodan Mustafi na Danny Welbeck ambao wamerudi katika mazoezi huku Alexandre Lacazzette akitarajiwa kucheza. Harry

Read More...

Raia wajitokeza kumshinikiza Mugabe kujiuzulu Zimbabwe.

Maelfu ya raia wa Zimbabwe wamejitokeza barabarni hasa mjini Harare wakijiandaa kwa mkutano mkubwa unaoungwa mkono na chama tawala

Read More...

Waziri Mkuu Canada Aijibu Serikali ya Tanzania Sakata la Bombardier Kuzuiliwa.

Wakati katibu mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano akiwa nchini Canada kushughulikia suala la ndege ya Bombardier,

Read More...

Mbowe awataka viongozi wa dini kupaza sauti.

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amewataka viongozi wa dini kupaza sauti kukemea maovu ili kuiokoa nchi katika kilio. Mbowe  alisema

Read More...

Mugabe agoma kujiuzulu.

Rais wa miaka mingi nchini Zimbabwe anaripotiwa kukataa kuandoka madarakana mara moja licha ya kuongezeka wito wa kumtaka ajiuzulu. Mugabe,

Read More...

Picha za kwanza za mkutano wa mkuu wa jeshi na Mugabe.

Picha za kwanza za mkutano kati ya Rais Robert Mugabe na mkuu wa majeshi ya Zimbabwe Jen Constantino Chiwenga

Read More...

Mugabe ashiriki mazungumzo ikulu Harare.

Serikali ya Afrika Kusini imesema Rais Robert Mugabe anakutana na wajumbe kutoka nchi za kanda ya kusini mwa Afrika

Read More...

Wauzaji wa maji wa Mererani watakiwa kushusha bei.

Baraza la Mamlaka ya Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, limewataka wauzaji wa maji wanaosambaza na magari

Read More...

Mkuu wa Wilaya ya Mbulu asuluhisha mgogoro wa muda mrefu.

Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Chelestino Mofuga, amesuluhisha mgogoro wa muda mrefu wa viongozi wa kanisa la

Read More...

Kiongozi wa vijana Zanu-PF aomba jeshi msamaha.

Kiongozi wa muungano wa vijana wa chama tawala Zanu-PF Kudzai Chipanga, ambaye amekuwa muungani mkono wa Rais Robert Mugabe

Read More...

Mobile Sliding Menu