Author: contributor contributor

Lazaro nyalandu ajivua ubunge ahama ccm

Mbunge wa chama cha Mapinduzi CCM Lazaro Nyalandu, amejiuzulu wadhifa wake, na kusema kwamba anataka kuhamia chama cha upinzani

Read More...

Diwani atoa siri nzito kuhusu madiwani waliojizulu.

Diwani Viti Maalum Digna John Nasari amesema kuwa anawashangaa Madiwani wanaoachia Nafasi zao,na kisha kuomba ridhaa tena kwa kuwa

Read More...

Mahakama Kenya yashindwa kusikiliza kesi.

Mahakama ya Juu Kenya yashindwa kusikiliza kesi ya kuahirishwa kwa uchaguzi kutokana na ukosefu wa majaji wa kutosha mahakamani. Jaji

Read More...

Naibu Meya wa Jiji la Arusha afunga mafunzo ya kisheria kwa wanawake wajane na watoto yatima.

Naibu Meya wa Jiji la Arusha Mhe.Viola Likindikoki leo Oktoba 24 amefunga mafunzo ya kisheria katika kata ya Moivaro

Read More...

Viongozi wa Mamlaka ya hali ya hewa watembelea kituo cha Radio5fm

Viongozi wa Mamlaka ya hali ya hewa leo wametembelea ofisi za kituo cha Radio 5 Arusha na kujionea jinsi

Read More...

Kenyata asema hana masharti kwa IEBC.

Jana Rais Uhuru Kenyatta amekutana na mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini humo IEBC, huku uchaguzi wa

Read More...

Ronaldo anyakua tuzo kwa mara nyingine tena.

Kwa mara ya pili Cristiano Ronaldo ametwaa tuzo ya The Best Fifa awards baada ya kupata 43% ya kura

Read More...

Lowassa amjulia hali Lissu.

  Aliyekua Waziri Mkuu wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Mhe. Edward Lowassa akiongozana na Mke wake Mama

Read More...

CHAVITA:Viziwi tunaweza tushirikishwe.

Chama cha viziwi Chavita wamefanya Bonanza la Michezo katika kata ya Sombetini Arusha kwa kucheza mpira wa miguu na

Read More...

Diwani Vitimaalum aendesha Harambee kujenga Zahanati.

Diwani wa viti Maalumu CHADEMA Mhe.Digna John Nassari ameongoza harambee ya kujenga zahanati ya kijiji cha Nsengonyi kilichopo katika

Read More...

Mobile Sliding Menu