Author: contributor contributor

Korea Kaskazini imeonya kuwa itasababisha maumivu na mateso makubwa kwa Marekani, ambayo hayajawahi kushuhudiwa.

Korea Kaskazini imeonya kuwa itasababisha maumivu na mateso makubwa kwa Marekani, ambayo hayajawahi kushuhudiwa. Imetoa angalizo hilo kama utawala wa

Read More...

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, ameanza ziara rasmi katika mataifa ya Amerika Kusini.

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, ameanza ziara rasmi katika mataifa ya Amerika Kusini.   Netanyahu aliondoka jana usiku katika uwanja

Read More...

Wabunge wa bunge la Muungano wamesema kodi inayotozwa Tanzania, bado ni mzigo kwa wafanyabiashara.

Wabunge wa bunge la Muungano wamesema kodi inayotozwa Tanzania, bado ni mzigo kwa wafanyabiashara. Wakichangia mjadala wa mafunzo ya kuwajengea

Read More...

Wazazi Kilimanjaro hawana ushirikiano kwa mabinti wanaopata mimba.

Mkuu wa Wilaya ya Siha Onesmo Buswelu, amesema wazazi wa Mkoa wa Kilimanjaro hawaonyeshi ushirikiano kwa mabinti zao wanapopata

Read More...

Serikali kuwasilisha bungeni mapendekezo ya marekebisho ya sheria za hifadhi ya jamii

Serikali inatarajia kuwasilisha bungeni mapendekezo ya marekebisho ya sheria za hifadhi ya jamii, yatakayoanzisha fao la upotevu wa ajira. Naibu

Read More...

Mkali wa Muziki wa Country Don Williams afariki Dunia.

Mwanamuziki nyota wa nyimbo za mtindo wa country kutoka Marekani Don Williams amefariki dunia akiwa na umri wa miaka

Read More...

Fenerbahce wanamtaka mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa.

Klabu ya Fenerbahce ya Uturuki imefanya mazungumzo na wawakilishi wa mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa kuhusu uwezekano wa kumchukua

Read More...

Manji adai kuwa bado yeye ni Diwani halali.

  Mfanyabiashara Yusuf Manji ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo kuwa, yeye bado ni Diwani wa Kata ya Mbagala

Read More...

Chadema wazungumza baada ya Lissu Kushambuliwa.

  Katibu Mkuu wa Chadema Doctor Vincent Mashinji, amesema kuwa mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Tundu Lissu anaendelea

Read More...

Spika aeleza jinsi Lissu alivyoshambuliwa.

Spika wa Bunge Job Ndugai amesema kuwa, mwanasheria Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, alishambuliwa

Read More...

Mobile Sliding Menu