Author: contributor contributor

Idara ya Uhamiaji yazindua mpango utakaoruhusu wageni wanaoishi nchini kuomba vibali kupitia mfumo wa mtandao.

Idara ya Uhamiaji, imezindua mpango utakaoruhusu wageni wanaoishi nchini, kuomba vibali kupitia mfumo wa mtandao, ambao utarahisisha upatikanaji wa

Read More...

Bunge lapiga marufuku masuala ya usalama wa Taifa kujadiliwa Bungeni.

Bunge limepiga marufuku masuala ya Usalama wa taifa kujadiliwa ndani ya chombo hicho, isipokuwa kama mbunge anaweza kuwasilisha hoja

Read More...

Viongozi wawili wa upinzani nchini zimbabwe waunda umoja wao ili kuwania uchaguzi Mkuu ujao nchini humo.

Viongozi wawili wa vyama vya upinzani nchini Zimbabwe wamekubaliana kuunda umoja kuwania urais kwenye uchaguzi mkuu ujao nchini humo. Kiongozi

Read More...

Vyama ndugu vya kihafidhina vinavyomuunga mkono kansela wa Ujerumani vyaendelea kuwa na uongozi wa kutosha katika uchunguzi wa maoni ya wapiga kura.

Vyama ndugu vya kihafidhina vinavyomuunga mkono kansela wa Ujerumani Angela Merkel vinaendelea kuwa na uongozi wa kutosha katika uchunguzi

Read More...

Kero za Muungano zapatiwa ufumbuzi.

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Luhaga Mpina, amesema Kero za Muungano, ambazo zimekuwa ni

Read More...

Serikali yatenga sh18.1 bilioni kwa ajili ya kujenga na kukarabati mahakama mbalimbali Nchini.

Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria kwa Mwaka 2017/18 imetenga Sh18.1 bilioni kwa ajili ya kujenga na kukarabati

Read More...

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania aagiza madaktari mia258 kuajiriwa.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. JOHN MAGUFULI ameagiza kuwaajiri madaktari mia 258, pamoja na wataalam wengine

Read More...

Wafanyakazi 51 wakujitolea wala kiapo cha utumishi nchini Tanzania.

Wafanyakazi wa wapatao 51 wa kujitolea kutoka Taasisi ya Marekani ya Peace Corps wamekula kiapo cha utumishi wa kujitolea

Read More...

Wafanyakazi wa Hotel ya seventy seven walipwa mafao yao.

Wizara ya Fedha na Mipango imesema kuwa waliokuwa wafanyakazi  wa Hoteli ya Seventy Seven ya mkoani Arusha, walioachishwa kazi

Read More...

Naibu waziri wa Utalii na Maliasili atoa rai kwa vyombo vya habari vyote Nchini.

Naibu Waziri wa Utalii na Maliasili Mhandisi Ramo Makani ametoa Rai Kwa vyombo vya habari vyote nchini kuwa na

Read More...

Mobile Sliding Menu