AY aikubali ‘Konki Master’

In Kitaifa

Msanii wa muziki wa hip hop, AY amemshauri rapa Dudu Baya kusajili jina Konki Master kwani kuna baadhi ya wafanyabishara wanalinyapia

Dudu aka Konki Master alijipatia umaarufu pitia sakata lake la kutoa list za watu wanadaiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja.

“Dudu Baya akitaka kutisha akasajili slogan yake akidelay si mnawajua kampuni zetu za mawasiliano kwa kudandia misemo..PATA OFFER KONKI. Mfikishieni ujumbe wangu,” alitweet AY.

Kwa sasa mkali huyo wa hit ‘Nakupenda Mpenzi’ amepata shavu la kufanya show kupitia tamasha la Wasafi Festival ambalo litazunguka katika mikoa 5.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Suzan Kiwanga afukuzwa Bungeni.

Spika wa Bunge, Job Ndugai jana alimtoa nje ya bunge, Mbunge wa Mlimba, Suzan Kiwanga (Chadema) na kumtaka kutohudhuria

Read More...

Mtolea ajivua Uanachama wa CUF Akiwa Ndani ya Bunge Leo.

Mbunge wa Temeke Abdallah Mtolea, kwa tiketi ya CUF ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ubunge na nafasi zote ndani

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu