Baba mzazi wa Michael Jackson, Joe Jackson afariki dunia

In Burudani
Baba mzazi wa aliyekuwa Mfalme wa muziki wa Pop duniani Michael Jackson, Joe Jackson amefariki dunia  jana  mchana mjini Los Angeles nchini Marekani akiwa na umri wa miaka 89.
Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Joe Jackson alilazwa tangu mwezi Machi mwaka huu  na alikuwa na anasumbuliwa na Saratani.
Joe Jackson ni moja wa Mameneja walioacha historia nchini Marekani kwa kuwameneji watoto wake katika kazi zao za muziki akiwemo marehemu Michael Jackson na Janeth Jackson.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Suzan Kiwanga afukuzwa Bungeni.

Spika wa Bunge, Job Ndugai jana alimtoa nje ya bunge, Mbunge wa Mlimba, Suzan Kiwanga (Chadema) na kumtaka kutohudhuria

Read More...

Mtolea ajivua Uanachama wa CUF Akiwa Ndani ya Bunge Leo.

Mbunge wa Temeke Abdallah Mtolea, kwa tiketi ya CUF ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ubunge na nafasi zote ndani

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu