Bajeti ya Afya yapitishwa.

In Afya, Kitaifa

Bunge limeridhia na kupitisha jumla ya Shillingi Billioni 898 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa mwaka wa fedha 2018/2019.

Wakijibu hoja mbalimbali za wabunge kuhusu Bajeti ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2018/2019 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema Wizara itaendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu ukatili wa kijinsia ikiwemo kutoa elimu kwa wazazi ili wawafundishe watoto wao.

Pia Ummy Mwalimu amesisitiza kuwa wanampango wa kushauri kuwepo kwa somo la elimu ya uzazi kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ili kuwapa uelewa wanafunzi nchini kuweza kujikinga na kujiepusha na vitendo vya ukatili wa kijinsia.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Majeshi ya Marekani yauwa raia Somalia

Majeshi ya Marekani yanayoendesha mashambulizi ya angani nchini Somalia dhidi ya ngome za wapiganaji wa Al Shabab nchini humo

Read More...

Idai yapoteza makazi ya watu 400,000.

Shirika la Msalaba Mwekundu linakadiria kuwa watu 400,000 wamepoteza makaazi yao nchini Msumbiji kutokana na Kimbunga Idai kilichoipiga nchi

Read More...

Baa la njaa kuikumba Kenya.

Zaidi ya watu milioni 1.5 nchini Kenya wako katika hatari ya kukabiliwa na baa la njaa kufuatia kutokuwepo kwa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu