Baraka da Prince sasa kufunga ndoa na Naj

In Burudani

Msanii wa Bongo fleva Baraka de Prince amebainsha wazi kufunga ndoa mwaka huu na mpenzi wake Naj.

Minong’ono ilikua mingi ikimuhusisha Baraka kwamba ameachana na mpenzi wake Naj, akizungumza na Funiko

Base ya Radio5 fm Baraka amesema”Mimi na Naj bado tupo tupo, watu walifikiria mimi sikuwahi kusema kama tumeachana labda kwasababu nilikua nimearchieve picha watu wakatengeneza iyo stori lakini sikuwahi kusema mahali popote kama tumeachana, tupo kwenye mipango ya kufunga ndoa  mwaka huu”.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

SOKA LA KIMATAIFA NA FUNUNU ZAKE

Real Madrid bado wanataka kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Brazili Neymar, lakini wanataka hakikisho kutoka Paris St-Germain kuhusu hali

Read More...

(TAMISEMI) KUTOA TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani S Jafo kesho tarehe 23 Mwezi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu