Barcelona wawasili Afrika Kusini.

In Michezo

Klabu ya Barcelona imewasili nchini Afrika Kusini ambapo inatarajia kushuka dimbani kuchuana na klabu ya Mamelodi Sundowns katika mchezo wa kirafiki utakaopigwa kwenye uwanja wa FNB stadium.

Mabingwa hao wa ligi ya Hispania wameshuka katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Oliver Tambo wakiwa na kikosi kamili chenye nyota kama Lionel Messi, Suarez na nyota aliyetangaza kuondoka mwisho wa msimu huu Andres Iniesta.

Barcelona itapambana na klabu ya Mamelodi Sundowns ambao ni mabingwa wa Afrika Kusini kwenye mchezo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Museveni akanusha kupigwa vibaya Bobi Wine.

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amekanusha kwamba mbunge wa upinzani Bobi Wine amejeruhiwa. Katika taarifa yake ya kwanza kuhusu

Read More...

Dada yake Rais Magufuli aaga dunia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefiwa na dada yake, Monica Joseph Magufuli aliyekuwa amelazwa katika

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu