Bastola yadondoka na kuuwa mahakamani

In Kimataifa

Tukio la kusahangaza linalo Treand kwa sasa ni kuhusu kifo cha Mwendesha Mashitaka wa Serikali Afrika Kusini Addelaid Ferreira Watt (51), aliefariki Duniani kwa kupigwa risasi baada ya bastola ya ushahidi kudondoka katika Meza ya Mahakama.

Kwa mujibu wa Mitandao ya Afrika Kusini tukio hilo limetokea November 18 katika Mahakama ya Mkoa Ixopo Kwazulu-Natal wakati Mwendesha Mashitaka huyo akisimamia kesi ya wizi wa kutumia silaha.
Mkurugenzi wa Mashitaka nchini humo Elaine Zungu amesema kuwa, Watt alipigwa risasi katika nyonga akiwa ndani ya chumba cha Mahakama akiendesha kesi ya Wizi wa kutumia silaha ambapo bastola ilidondoka yenyewe kutoka katika meza ya Mahakama kisha ikafyatuka na risasi zikatoka na kumjeruhi Mwendesha Mashitaka huyo Ferreira Watt katika nyonga na kusababisha kifo chake.

 

Inaelezwa kuwa Bastola hiyo ilikuwa ni kielelezo cha ushahidi katika kesi ya wizi wa unyanganyi kwa kutumia silaha.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Mwenyekiti Bavicha taifa aomba udhamini ubunge.

Mwenyekiti wa Vijana Taifa chama cha Chadema John Pambalu amejitokeza kutia nia na kuomba udhamini kwa wanachama wa chama hicho katika

Read More...

RC Makonda amkaribisha DC Gondwe

Mkuu wa Mkoa DSM wa Paul Makonda leo July 9 amezungumza na Mkuu wa Wilaya mpya wa Temeke Mh Godwin Gondwe pamoja

Read More...

Takukuru Dodoma watoa kauli kuhusu mbunge kibajaji.

Kufuatia kuwepo kwa taarifa za TAKUKURU mkoani Dodoma kumshikilia mbunge wa Jimbo la Mtera Ndugu Livinstone Lusinde Kibabaji, leo wamezungumzia swala hilo. Kwa uzuri Mtaa wa Mastory

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu