Boda boda waguswa Bungeni kwa kuvunja sheria.

In Kitaifa

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi George Simba Chawene
amesema pamoja na kuwepo kwa sheria za usalama barabarani
bado waendesha Piki piki maarufu boda boda wameendelea
kuleta usumbufu barabara,huku akilitaka jeshi la polisi nchini
kuendeleza madarasa ya elimu juu ya usalama barabarabi ili
kupunguza ajali zitokanazo na madereva wa boda boda.


Waziri simba chawene ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma
wakati akijibu maswali ya wabunge, huku Spika Job Ndugai
akishauri kuangaliwa kwa adhabu zinazotolewa.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Rais Samia Suluhu Hassan atuma salamu za mfungo wa Ramadhani

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewatakia Waislamu wote mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.Rais Samia Suluhu Hassan,

Read More...

Mourinho alia na VAR kisa kiwiko cha Pogba

Kocha Mkuu wa Tottenham, Jose Mourinho anaamini kwamba kiungo wa Klabu ya Manchester United, Paul Pogba alistahili kuonyeshwa kadi

Read More...

Namungo FC yarejea Bongo tayari kwa ligi kuu bara

Kikosi cha Namungo FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Hemed Moroco leo Aprili 12 kimerejea Tanzania kikitokea nchini Zambia ili

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu