Breaking News:Mama Regina Lowassa afiwa na Mdogo wake.

In Kitaifa

Ndugu Isaac zumba wa ngarenaro, Arusha. Anatangaza kifo cha Mke wake Amabilis zumba ambaye ni Mdogo wake na Mama Regina Lowassa, kilichotokea jana katika hospitali ya taifa ya muhimbili. Mwili unategemewa kuagwa kesho ijumaa saa sita mchana, muhimbili hospital-katoliki, na baada ya hapo kuelekea Arusha kwa ajili ya mazishi siku ya Jumanne tar 8 January. Salaam ziwafikie ndugu wote wa koo za Zumba na Mumba waishio ndani na nje ya nchi.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu