Buffon amjia juu mwamuzi, kwa kuipa Real Madrid penati.

In Michezo

Mlindalango wa klabu ya Juvetus, Gianluigi Buffon amesema kuwa mwamuzi wa mchezo wao dhidi ya Real Madrid, Michael Oliver ndiyo muuwaji wa ndoto za timu yao hapo jana kwa kuruhusu adhabu ya penati ambayo kwa upande wake aliona haikuwa sahihi.

Buffon, alimjia juu mwamuzi, Michael Oliver kutoka Uingereza kwa kuruhusu penati ambayo haikuwa sahihi dakika za nyongeza kabla ya mchezo huo kuisha baada ya mshambuliaji wa Madrid, Lucas Vazquez  kusukumwa eneo la penati boksi na kuamuriwa hadhabu hiyo iliyo fanya mchezo huo kumalizika kwa matokeo ya jumla ya mabao 3 – 1 na vijana wa Hispania kusonga mbele hatua ya nusu fainali kwa jumla ya magoli 4-3.

 

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

PICHA:Rais Magufuli akitoa salamu za pole familia ya Kikwete

Kufuatia kifo cha Rashid Mkwachu ambaye ni Baba mzazi wa mke wa Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete, mama Salma

Read More...

Lugola awapa maagizo wakuu wa majeshi, Wafungwa watumie nguvu zao kujitaftia chakula.

Waziri wa mambo ya Ndani, Kangi Lugola mapema leo hii ameongea na vyombo vya habari akiwasilisha maagizo mbalimbali ambayo

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu