Bunge la Uganda limeondoa ukomo wa umri kwenye kugombea Urais.

In Kimataifa, Siasa

kutoka  Uganda kwa Rais Yoweri Museveni ambapo Bunge la nchi hiyo limepitisha muswada wa kuondoa ukomo wa umri katika kugombea Urais ambao ulikuwa ni miaka 75.

Mabadiliko hayo ya Katiba yamepitishwa kwa kura 315 dhidi ya kura za upinzani 62 yanampa nafasi Rais wa sasa Yoweri Kaguta Museveni kuwania kiti cha Urais kwa Muhula wa Sita.

Tofauti na hilo wabunge pia wamerudisha nyuma ukomo wa vipindi viwili vya kukaa madarakani kutoka miaka saba hadi miaka mitano na kwa matokeo hayo wabunge wa sasa wataendelea kushikilia nafasi zao hadi mwaka 2023.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu