BREAKING NEWS:LISSU AVULIWA UBUNGE.

In Kitaifa

Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amemvua Ubunge Mhe.Tundu Lissu

Spika ametoa sababu mbili kwanini amemvua Lissu Ubunge,  Kutotoa taarifa rasmi ya maendeleo yake huku akionekana huku na kule pamoja na kutokujaza fomu za maadili ya viongozi za Tume ya maadili, hivyo kupoteza sifa za kuwa Mbunge.

“Nimemwandikia Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi kuwa Kiti cha Ubunge wa Singida Mashariki ambacho Mbunge wake ni Tundu Lissu kipo wazi”.alisema Ndugai

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

David Luiz kuitangaza Rwanda Kimataifa.

Mchezaji wa klabu ya Arsenal, David Luiz ameahidi kuitangaza Rwanda kimataifa kwenye sekta ya utalii kwa marafiki zake wanaoishi

Read More...

Rekodi yawekwa na Kipchoge kutoka Kenya

Eliud Kipchoge amekuwa Mwanariadha wa kwanza katika historia ya mbio za marathon kukimbia kilomita 42 kwa muda wa chini

Read More...

Habinder Seth aandika barua kwa DPP kukiri makosa yake.

Habinder Seth, anayekabiliwa na makosa ya Uhujumu Uchumi amemuandikia barua Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) kukiri makosa yake na

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu