Caitlyn Jenner Aelezea Kutoongea na Kim Kardashian Kunavyomuumiza.

In Burudani, Kimataifa, Mahusiano

 

Baada ya kuachia kitabu  cha ‘The Secrets of My Life’ imebainika kuwa Kim Karadshian na Caitlyn Jenner hawaongei kwa muda sasa.

Akiongea katika kipindi cha ‘Good Morning Britain’ mwanamama huyo ambaye ni baba  wa Kendall na Kylie Jenner, ameeleza kuwa tangu alipotoa kitabu  cha ‘The Secrets of My Life’ mahusiano yake na Kim Karadashian yamekufa kwa taribani miezi 6 hadi 9.

“We haven’t talked in nine months. I love Kim so much. It’s such a huge loss in my life not having her there anymore. It’s really sad. I love all my children. I spent 25 years raising these kids,” amesema Caitlyn Jenner.

Ameongeza  “With that family, you’ll notice on the show ‘Keeping up with the Kardashians’ that I always kept my opinions to myself, I was living in a house with very opinionated women and I was always left in the background and kept my mouth shut.”

Hata hivyo amemshukuru Kim kwa kukubaliana na hali yake ya sasa baada ya kujibadilisha jinsia kutoka mwanaume na kuwa mwanamke.

 

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu