Card B, French Montana, yoGotti pamoja na Master P, wawekwa kikaaongoni.

In Burudani

Card B French Montana yoGotti pamoja na Master P wanasemekana kitumia/ kukopy beat ya msanii JMK katika track zao.

JMK anasema kuwa marappee hawa wameiga katika track yake inayoitwa choppa style. Kutokana na dondoo zilizopatikana katika mtandao wa TMZ card B pamoja na city Girl walichukua kipande cha Choppa mwaka jana katika mega hit yao “Twerk”. Pia JMK anasema yo Gotti na French Montana walifanya hivyo kwenye wimbo wao wa “Oh yeah” 2017.

Kutokana na Marapper hawa kukopy ngoma ya JMK , JMK anasema alitakiwa alipwe kutokana na sample waliyoichukua lakini hajapata chochote. Card French Gotti, City girl, pamoja na Master P wametafutwa lakini hakuna jibu lolote walilotoa mpaka sasa.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

SOKA LA KIMATAIFA NA FUNUNU ZAKE

Real Madrid bado wanataka kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Brazili Neymar, lakini wanataka hakikisho kutoka Paris St-Germain kuhusu hali

Read More...

(TAMISEMI) KUTOA TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani S Jafo kesho tarehe 23 Mwezi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu